Social Icons

Wednesday, October 6, 2010

WANAFUNZI WA KIDATO CHANNE WAKIUMIZA VICHWA!!!

Ishu iliendelea hivi wazeey....
Unaona baaanaa!!!
Duuh! watoto wako bize ile mbaya.
Wakielekezana jambo muda mfupi baada ya kumaliza pepa.

Wanafunzi wakijinoa mara ya mwisho kujiandaa na mtihani wa Historia.

Marafiki wakipiga porojo wakati wakisubiri kuingia chumba cha mtihani.


Hawa walilalamikia mazingira mabovu ya shule hiyo kukosa sehemu nzuri za kujisomea na kulazimika kijimwaga mchangani.

WANAFUNZI wa kidato cha nne nchini wanaendelea na mitihani ya kumaliza elimu ya Sekondari ambapo Mateja20 leo mchana ilitembelea Shule ya Sekondari Makumbusho jijini Dar es Salaam na kuwakuta wanafunzi wakiwa mapumzikoni baada ya kumaliza mtihani wa Baiolojiahuku wakiuubiria mtihani wa Historia.





0 comments: