Haa! Chalz Baba kushoto akiwa na Mzee wa Pamba.
Yaani ni Freeeshiiii Baaaaaaanaaaaaa!!!!!!!
Mrembo akikatiza ukumbini hapo huku mkononi mwaka akiwa amesheheni vinywaji.
Chalz Baba akiwa kwenye pozi na mzee wa Pamba muda mfupi baada ya kumtunza.Bendi ya Muziki wa dansi nchini ya The African Stars International 'Twanga Pepeta Sugu Kisima cha Burudani' Usiku wa kuamkia leo ilikuwa ikitoa burudani zake ndani ya Club Bilicanas ambapo mashabiki walikufurika ukumbini hapo.

0 comments:
Post a Comment