Johnson Lujwangana (wa pili kushoto) akiwa na familia yake.
Jina langu ni Johnson Lujwangana naishi Mount Vernon, New York nafanya show inayoonesha maisha ya familia inayotoka Afrika hapa marekani. Hii ni sehemu ya kazi ambao nimeishaifanya, naomba kuwajulisha watanzania wenzangu popote pale walipo. Ninaomba pia mawazo yenu au mawazo yako katika kazi yangu. Nitafurahi sana, kama utanisadia kuwajulisha watanzania wengine. Asanteni sana. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti hii: www.growingupafrican.com
Johnson (wa pili kushoto waliosimama) akiwa pamoja na ndugu na jamaa.
0 comments:
Post a Comment