Social Icons

Sunday, October 3, 2010

FERRE GOLLA ALIVYOPAGAWISHA DAR ES SALAAM

UTAMBULISHO wa bendi ya mashujaa music umefanyika vizuri katika ukumbi wa diamond ukihudhuriwa na watu mbalimbali na mashuhuri,lakini pia kuporomoshwa kwa mziki mnene toka Congo wa FERE GOLA ambaye alianzia wenge bcbg baadae akawa na werrason yaani wenge maison mere,baadae akaamia kwa Kofii oLOMIDE na sasa anamiliki bendi yake mwenyewe ndiyo hii aliyokuja nayo.Moja ya nyimbo alizowai kutunga na kumpa umaarufu Fere ni VITA IMANA aliitunga wakati yuko kwa Werrason,na kuurudia mara baada ya kuanzisha bendi yake na humo ndiko alikotoka mwanamziki aliyekuwa chokoraa ambaye ni SHIKITO, Mashujaa Musica wakiwajibika


Mashujaa ya Mama Sakina trans kazini


Mama Dotnata na mmewe MR.Posh nao walikuepo


Asha baraka akiingia ukumbini ili kuwaona mashujaa misica na FERRE GOLA


Hussein Macheni na mkewe Bi Ashura macheni walikuepo


Liver Hassani na mkewe wakishudia onesho hilo.


Fere Gola jukwaaaani



Sugger za Ferre Golla.

Ferre Golla na timu yake nzima.


Baadhi ya wadau wakifuatilia onesho kwa makini zaidi.



Shikito akiimba kipande chake katiki wimbo wa vita imana


Pedeshee Hussein Macheni ammiminia 'vijisenti' SHIKITO


Mambo yalikuwa kama hivi.


Ray,Kanumba wakiwa kwenye pozi la pamoja na Shikito.

0 comments: