Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa wananunua bidhaa mbalimbali katika stendi ya mabasi ya Mwenge.
Vijana wakiweka ubuyu katika mifuko kwa ajili ya kuuza maeneo ya soko la Makumbusho.
Kijana akichanganya maji na vikorombwezo husika ili kutengezeza juisi kwa ajili ya kuiuza katika Barabara ya Bagamoyo leo mchana.
Muuza maji akiwauzia abiria waliokuwa katika basi liendalo Tandika.
0 comments:
Post a Comment