AY akiwa stejini ndani ya ukumbi wa Billicanas.
…Akifanya makamuzi kama kawaida.
…Akiwa ameungana na Mwana FA (kulia) kunogesha shoo.
....Wakiimba wimbo wa “Habari ndiyo hiyo”.
Mashabiki “wakimshangaa” AY.
Uhondo wa muziki ukiwa umepamba moto.
…..AY akiwakaribisha stejini Kelvin Pam na Eliza Gupta (kulia).
Kelvin na Eliza wakitoa “machejo” jukwani kumsapoti AY.
Eliza akionyesha umahiri wake jukwaani.
…. Akionyesha “matindo” adimu katika fani ya muziki.
“Baba” akirap na “mama” akinengua.
Kumbe Eliza mkali pia kwenye “maiki”.
Wapenzi hao wakicheza “rumba” kwa masafa ya karibu.
MSANII ‘first class’ anayetesa katika anga za muziki wa kizazi kipya, Ambwene Yesaya ‘AY’, usiku wa kuamkia leo amefanya shoo ya kufa ndani ya klabu Billicanas jijini Dar es Salaam, huku akiungwa mkono na mshiriki wa BBA mwaka jana kutoka Nigeria, Kelvin Chuwang Pam, akiwa na mchumba wake, Elizabeth Gupta.
Katika shoo hiyo, AY aliungana na rafiki yake kipenzi Mwana FA ndani ya ‘Bills’ huku shemeji yetu Kelvin kutoka Nigeria akiwasha moto ndani ya ukumbi huo akiwa na dada yetu Elizabeth ambaye naye alitoa sapoti iliyowavutia mashabiki na kuifanya shoo hiyo kuwa kiboko.
“Nashukuru sana kwa mashabiki wangu kunipa sapoti, kwani shoo ilipendeza kama nilivyotarajia; nawapongeza sana wote waliojitokeza kuniunga mkono,” alisema AY mara baada ya kumalizika kwa shoo yake.

0 comments:
Post a Comment