Social Icons

Tuesday, September 14, 2010

USIOMBE UKAJILEGEZA KWA MZEE WA PAMBA UTALAMBWA HADI... UKUMBINI!!

Mzee wa Pamba: lv u so much and lv u complete ma' ... wangu .
Kama utani hivi laki haka ndiko kastaili kake ka kuanzia baanaa!!!
Haa! we' naye kidogo tu usha...
Oya kama vipi basi ni... japo kidogo tu wangu?

HII ilitokea September 12 ndani ya Ukumbi wa Msasani Beach Club, ambapo Mzee wa Pamba hupendelea kwenda kutafuna bata mara kwa mara Bendi ya Akudo Impact 'Vijana masauti' wanapokuwa na shoo pande hizo.
Akiwa mahali hapo jumapili iliyopita Mzee wa Pamba alimtambulishaPapatazi wa Mateja20 kwa mrembo mmoja aliyetambulika kwa jina la Amina, kuwa yeye ndie ma' Wife wake, chakushanga baada ya dakika 5 mbele Paparazi wa Mateja20 alimanasa akibembeleza .... kwa mrembo aliye kwenye picha ya mwisho chini, na baada ya kugonga mwamba, aliamua kuachana nae na dakika kumi mbele alibahatika kumnasa Queen Magari, ambaye ni muigizaji wa Runinga kunako kundi la Simu ya Mkononi kinachorushwa hewani kupitia shirika la utangazaji la TBC1.
Kutokana na utaalam wake Mzee wa Pamba alirusha ndowano yake na kumnasa vyema mrembo huyo na kuanza kuburudika kwa raha zake ukumbini hapo. Kwa issue kama hizi zitakujia kila wiki kupitia Mateja20 Endelea kuwa nami.

0 comments: