Social Icons

Thursday, September 16, 2010

PATA MAHOJIANO YA LULU NA MATEJA20 LIVE KATIKA VIDEO!!


"The thing is .......Mimi ni staa......I'm a Star" hivyo ndivyo anavyojitambua msanii mdogo mwenye makeke nchini Tanzania, Elizabeth Michael (16), ambaye anajulikana zaidi kwa jina la LULU! Baada ya habari yake ya kulewa chakari kuteka hisia za watu jana, mtandao huu umemtafuta na kufanyanae mahojiano na kueleza kila kitu kuhusu tabia yake na kusisitiza kuwa hivyo ndivyo alivyo...bonyeza Player umsikilize!


"...mimi sikulewa na nilikuwa nimevaa vazi langu la kawiada tu la kutokea.."

VIDEO NA MAHOJIANO: Musa Mateja/wa Mateja20.

0 comments: