WAREMBO waliyo katika kinyang'anyilo cha kumsaka Miss Tanzania 2010-2011, usiku wa kuamkia leo wamechuana vikali kumsaka mrembo mmoja atakae shikiria taji la Miss Reds. Ishu hiyo imefanyika katika Umbi wa Mbaramwezi Beacha Mikocheni jijini Dar es Salaam.
.....wakiajibika

Miss akitetea nafasi yake

DJ Makay & Sam

Martine & Jokate
Furaha David katika pozi.
Mapozi yalikuwa kama hivi.

Mmoja wa warembo hao akiajibika jukwaani.

Baada ya shoo hiyo kumalizika.

Mambo yalikuwa hivi.

Baadhi ya warembo hao wakiwa stejini.


Miss akitetea nafasi yake

DJ Makay & Sam

Martine & Jokate



Mmoja wa warembo hao akiajibika jukwaani.

Baada ya shoo hiyo kumalizika.

Mambo yalikuwa hivi.

Baadhi ya warembo hao wakiwa stejini.

Wageni waarikwa wakishuhudia zoezi hilo





Baadhi ya wadau wakifuatilia mpango mzima

0 comments:
Post a Comment