Social Icons

Saturday, September 4, 2010

KILA LAHERI TAIFA STARS!!!


TIMU ya taifa ‘Taifa Stars’ jana ilianza vema Kombe la Mataifa Afrika (Can 2012), baada ya kutoka sale ya 1-1 ugenini dhidi ya Algeria .
Bao hilo la Stars lilifungwa na kiungo Abdi Kassim kufuatia mpira wa adhabu baada ya winga machachari Mrisho Ngassa kuchezewa vibaya nje ya 18.
Kila la kheri Stars.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Stars

0 comments: