Msanii machachari anayekuja kwa kasi kunako game ya Bongo Flava nchini, akitokea Lebo ya Zizzou Entertainment, Edison Wilson 'Baby Boy'. hatimaye ameipua single mpya inayokwenda kwa Jina la Tufurahi Kila Kona, ambayo itakuwa ya pili katika mfululizo wa nyimbo zitakazobeba albam yake.Akiongea na Mateja20 juzikati, Baby Boy alisema kwamba, anaomba mashabiki wake wote kwa ujumla wakae mkao wa kula kwani soon atashuka na albam itakayosheheni zaidi ya nyimbo 10 ambazo zitakuwa katika ladha tofauti tofauti.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment