Social Icons

Friday, July 2, 2010

HAA! MAMBO YA TALENT SHOW BWANA !!!

Mmoja wa washiriki wa miss Kinondoni akionyesha makeke yake kwenye tamasha la Talent Show lililofanyika Giraffe Hotel siku chache kabla ya kulivaa jukwaa la kumsaka Miss Kinondoni jijini Dar.

0 comments: