skip to main |
skip to sidebar
DUU! NIKWELI MREMBO ANAYAWEZA!!!!
Mrembo huyu ambaye jina lake hatukulinasa mara moja hivi juzikati alijikuta akimduwaza mshikaji aliyekushoto kwake baada ya kukata sebene kwa kwenda front ndani ya viwanja vya Traventine Magomeni jijini Dar es Salaam hivi Karibuni.
0 comments:
Post a Comment