Social Icons

Friday, May 21, 2010

WEMA HAWATUWEZI…..


Mrs Chalz Baba Wema akionyesha staili ya hamuwezi kumfanya lolote wala kusikia kwa Charlz Baba! Siku chache alipo wasili katika kiwanja cha ndege cha Taifa cha Mwalimu Julius K Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea Malaysia kuchukua vyeti vyake.

0 comments: