Friday, May 21, 2010
TINGISHA HATA KUSA TENA JUKWAA!
Mnenguaji tegemezi wa Bendi ya Diamond Music Khadija Tingisha anadaiwa kutopanda tena stejini kutokana na ujauzito wake kumuelemea habari kutoka ndani ya bendi hiyo zinasema wameamua kumpumzisha kwa muda kukata mauno kutokana na ushauri wa kiafya kutoka kwa Madaktari.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment