Social Icons

Tuesday, May 18, 2010

CHOKORAA, THEA NI YEYE YULE YULE!


Rapa Big name FROM The African Stars International ‘Twanga Pepeta Sugu kisima cha Burudani’ Khared Chuma ‘Chokraa’ Hii inaenda sambamba na vesi zake alizovunja katika song ya ‘Siri ya mapenzi’ kwani nasema hivi nikiwa na maana sawa kwamba siku chache tu baada ya kuonekana kila kona wakiwa closed na Thea Desminder Girl a.k.a kiburudisho cha Chokoraa hivi juzi kati wameonyesha kutemana kwa mabango makubwa hari inayoashilia kutolejeana tena mabango hayo wamekuwa wakishikiana mabango kila mara hasa pale anapotokea mtu na kuulizia juu ya uhusiano wao. Ishu hizo zimekuwa zikitawala ndani ya kumbi mbalimbali za burudani.

0 comments: