Social Icons

Wednesday, May 5, 2010

CHEKI MREMBO KATIAKA POZI TAMU


Mrembo anakwenda kwa jina la Edna Emmanuel ni mkazi wa Moro ila zaidi anapatikana jijini Dar pande za Mabibo hapa alikuwa Kwenye mchakato mzima wa kushindana kumsaka mrembo wa usiku wa kanga part ndani ya Club Le Mambo.

0 comments: