Social Icons

Tuesday, May 4, 2010

BASATA YAPIGA PINI NYIMBO ZA MAPENZI - Global Publishers Reports


Global Publishers Reports - Katibu Mtendaji wa BASATA, Gonche Materego akichangia mada katika majadiliano hayo yaliyochukua nafasi makao makuu ya baraza hilo, Baraza la Sanaa Bongo (BASATA), limepiga marufuku wasanii kurekodi nyimbo za mapenzi.Materego (Kushoto) akisisitiza jambo, katikati ni mdau wa sanaa, Cheyo Mundugwao na Afisa wa BASATA, Muyembe Ruyembe (kulia).Hayo yalisemwa jijini Dar leo asubuhi na Katibu Mtendaji wa BASATA,Ghonche Materego alipokuwa akichangia mada juu ya mapokeo ya kazi za
sanaa na athari yake katika jamii.
PICHA NA MUSA MATEJA/GPL

0 comments: