TAMASHA LA TIGO LA KUFUNGA MWAKA MKOANI DODOMA LAFANA
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Big John kutoka mjini Dodoma akitoa burudani wakati wa tamasha maalum la Tigo la kufunga mwaka lililofanyika mjini Dodoma juzi. Kampuni ya Tigo imeandaa matamasha kadhaa yatakayofanyika katika sehemu mbalimbali hapa nchini.
Msanii wa muziki, Madee, kutoka kundi la Tip Top Connection la jijini Dar es Salaam akitoa burudani wakati wa tamasha maalum la Tigo la kufunga mwaka lililofanyika mjini Dodoma juzi. Kampuni ya Tigo imeandaa matamasha kadhaa yatakayofanyika katika sehemu mbalimbali hapa nchini.…
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Big John kutoka mjini Dodoma akitoa burudani wakati wa tamasha maalum la Tigo la kufunga mwaka lililofanyika mjini Dodoma juzi. Kampuni ya Tigo imeandaa matamasha kadhaa yatakayofanyika katika sehemu mbalimbali hapa nchini.
Msanii wa muziki, Madee, kutoka kundi la Tip Top Connection la jijini Dar es Salaam akitoa burudani wakati wa tamasha maalum la Tigo la kufunga mwaka lililofanyika mjini Dodoma juzi. Kampuni ya Tigo imeandaa matamasha kadhaa yatakayofanyika katika sehemu mbalimbali hapa nchini.
20% akitoa burudani wakati wa tamasha maalum la Tigo la kufunga mwaka lililofanyika mjini Dodoma juzi. Kampuni ya Tigo imeandaa matamasha kadhaa yatakayofanyika katika sehemu mbalimbali hapa nchini.
0 comments:
Post a Comment