PRINCE CHARLES ATUWA IKULU YA TZ NA KUPOKELEWA NA RAIS KIKWETE
Mtoto wa Malkia wa Uingereza,Prince Charles na mkewe Camilla wakiingia na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Dkt Jakaya Kikwete katika jengo la Ikulu jijini Dar es Salaam.
Prince Charles akisaini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya wageni mashuhuri.
Dkt Kikwete na Mama Salma kikwete wakiwa na wageni wao Prince Charles na mkewe Camilla Ikulu jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment