Social Icons

Tuesday, October 25, 2011

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA BASI LA DELUXE LINALOFANYA SAFARI ZAKE KATI YA DAR ES SALAAM NA DODOMA, LIMEPATA AJALI NA KUUNGUA MOTO MUDA SI MREFU MAENEO YA SUGUSUGU WENGI WALIOKUWA NDANI YA BASI HILO WAMEUNGUA MOTO. PICHA ZAIDI ZA TUKIO HILO ZTUTAWADONDOSHEA HIVI PUNDE.

0 comments: