Mratibu wa semina hiyo, Mahmoud Omar (aliyesimama), akitoa somo kwa wadau waliohudhuria
KAMPUNI ya Dimond Integrated Solution and Awareness, iliyoandaa Tamasha kubwa linalokwenda kwa jina la Kwaheri Umasikini, karibu tujikomboe, liliilokuwa lilkutanisha watu zaidi ya elfu mbili katika Viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama jijini
Mkurugenzi mwandamizi wa kampuni hiyo DK. Didas (aliyesimama), akifafanua moja ya jambo katika semina hiyo.
0 comments:
Post a Comment