Peter Msechu akipagawisha jukwaani.
SHINDANO la Tusker All Stars 2011, usiku wa kuamkia leo lilifikia tamati ambapo mshiriki kutoka nchini Tanzania, Peter Msechu aliibuka kidedea kufutia nafasi ya upendele ambao washiriki wote walioingia tatu bora walikuwa washindi wa kwanza.

na kwa mjibu wa matokea ilikuwa hivi.
Alpha Rwirangira toka Rwanda (TPF 3 - Winner),Peter Msechu toka Tanzania (Mshindi wa 2 – TPF 4) na Davis Ntare toka Uganda (TPF 4 – Winner) wameibuka washindi na wamepata shavu la kupiga Show Same Stage na wasanii wa kimataifa baadaye mwaka huu nchini Kenya, ambapo mashindano hayo ya Tasker yalikuwa yakifanyika.
Katika kinyang'anyiro hicho kilihusisha washiriki kutoka nchimbalimbali akiwemo Hemedi Suleiman toka Tanzania,Caroline Nabulime na Amileena Mwenesi wa Kenya,Bernard Ng'ang'a na Patricia Kihoro toka Kenya.
Washiriki hao walikaa kambi wiki nane na watangazaji wa ishu hiyo alikua ni Prezentaz Eve D'Souza toka Kenya na Gaetano Kagwa toka Uganda, Mbali na washindi hao watatu kupata shavu la ku-share stage moja na wasanii wa kimataifahadi sasa haijawekwa wazi mambo ya zawadi yatakuwaje kwa upande wao.

0 comments:
Post a Comment