Social Icons

Friday, August 12, 2011

MATUKIO KUTOKA BUNGENI JANA JIONI

Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt, William Nchimbi, akiiwasilisha makadilio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha ya Wizara yake bungeni mjini Dodoma leo. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
Waziri Kivuli kambi ya upinzani wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi, akiwasilisha hotuba yake ya wizara hiyo ya makadirio ya mapato na matumizi katika kipindi cha mwaka 2010-2012 mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akijibu majibu ya masuali ya papo kwa papo Bungeni
Baadhi ya wakuu wa Idara na Taasisi ziliopo chi ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakifuatilia Hotuba ya Makadirio na Mapato ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2011-2012 Bungeni.
Baadhi ya wakuu wa Idara na Taasisi ziliopo chi ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakifuatilia Hotuba ya Makadirio na Mapato ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2011-2012 Bungen.
Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Dkt., Asha -Rose Migiro, akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri la Tanzania Job Ndugai,
Picha ya pamoja
Picha/Habari kwa hisani ya Sufianimafoto Blogspot

0 comments: