Social Icons

Saturday, August 20, 2011

MASANJA AWAPA SAPOTI KWAYA YA GLORIOUS

Emmanuel Mugaya 'Masanja' (wa tano kulia), akiselebuka na wanakwaya hao
Mbise (wa nne), akiwajibika na wenzake.
Baadhi ya piga vyombo wakisherehesha mahali hapo
Baadhi ya wageni na wadau waliohudhulia tamasha hilo wakicheza kwa fyraha mahari hapo.
Pastor Steven Wambura, akicharaza Drums kwenye tamasha hilo.
USIKU wa kuamkia leo (jana), Kikundi cha kwaya cha Glorius, kiliandaa tamasha lililokwenda kwa jina la Praise and worship Weekend Glouris Celebrion, ndani ya Ukumbi wa The Atriums Hotel iliyopo Sinza Afrikasana, ambapo tamasha hilo lilifana vilivyo huku likipigwa jeki na msanii wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mugaya 'Masanja Mkandamizaji'.

0 comments: