Social Icons

Thursday, August 11, 2011

KUFUATIA TATIZO LA MAFUTA, MBEYA NAULI YA DALADALA NI 1000 KITUO- KITUO

Wakati Madereva wa Mbeya wakiwa wamefikia hatuo hiyo ya kupandisha nauli kwa Jiji la Dar es Salaam, bado ni kizaazaa, ambapo sasa raia wamefikia kutishia kuchoma moto vituo vya kuuzia mafuta kwa kile walichodai wamiliki kugoma kuwauzia mafuta na kuwakalisha muda mrefu katika foleni wakisubiri mafuta. Hapa ni katika Kituo cha kuuzia mafuta cha Bamaga njia panda ya Sinza jijini Dar.
Hiki ni kituo cha Victoria ambapo napo pia ilibidi wafike askari wa kulinda usalama ili kurejesha hali ya amani na utulivu jana.
PICHA/HABARI: SUFIANIMAFOTOBLOGSPOT.COM

0 comments: