Social Icons

Monday, August 1, 2011

JACOB THE BEST ALA BATA NA CHALZ BABA NYUMBANI LOUNGE

Mwanamuziki wa Bendi ya African Stars International 'Twanga Pepeta' Charles Gabriel 'Chalz Baba', (kushoto), akipozi na Jacob The Best (kulia), bila kumsahau Kisanora, wa pili kushoto na Victor.
Hassani Kisanora, akiwa kwenye pozi la mfungo wa Ramadhani ndani ya Nyumbani Lounge.
Mambo ya Jacob The Best hayo bawana.
Jacob The Best (aliyebebwa), akiwa na Shaff Dauda (wa kwanza kushoto), na Gardiner kulia.
Victor,Jacob na Chalz baba katika pozi.
Jacob The Best, akipozi na Chalz Baba.
Chalz Baba (kushoto), akipozi kwenye meza ya pamoja na Jacob The Best (kulia), wengine katikati ni Hassani Kisanora na Victor.

Jacob The Best, akiwa kwenye pozi la hatari na ma ... wake.

JACOB The Best kutoka pande za South Africa, mapema usiku huu, nimemnyaka akikandamiza bata za hatari ndani ya Kiwanja cha wastaarabu cha Nyumbani Lounge Namanga jijini Dar es Salaam, na Mkurugenzi mwandamizi wa kiwanja hicho Gardiner G. Habash.

0 comments: