kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada wa vitabu kwa mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari SUA, Rogers Shempemba vilivyotolewa na kampuni hiyo kwa Shule za Sekondari za SUA, Mwembesengo, Mji Mpya na Mgulasi Mkoani Morogoro mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Meneja Mauzo wa Airtel Kanda ya Pwani, Aluta Kweka na Mkuu wa Sekondari ya SUA, Khalfan Millongo.
(kushoto) katika hafla ambayo Airtel ilikabidhi msaada wa vitabu vyenye thamani ya shs milioni 4 kwa Shule za Sekondari za SUA, Mwembesengo, Mji Mpya na Mgulasi Mkoani Morogoro mwishoni mwa wiki.
Katikati ni Mkuu wa Shule ya Sekondari SUA, Khalfan Millongo.
Katikati ni Meneja Huduma za Jamii wa Airtel, Tunu Kavishe na Mkuu wa Shule ya Sekondari SUA, Khalfan Millongo.
Press Release
Airtel Handles over books to four Morogoro Schools
. Each school receives books worth a million
Morogoro August 21st, 2011: Airtel Tanzania, the mostly available and affordable service provider in the country, handled over books aid to Morogoro based secondary schools, being part of the company's corporate social responsibility.
Books aid beneficiary schools are Mwembesongo secondary school, Mji mpya secondary, SUA Secondary School and Mgulasi Secondary school.
Speaking during the books handover event in Morogoro, the company's Corporate Social Responsibility Manager, Tunu Kavishe, said the four schools are amongst 800 schools across the country that have benefited from Airtel educational support project known as Airtel shule Yetu, "We have given equal opportunity to schools from all regions in the country to ensure that the books we are giving reach students from every part of the country. We have spent over 1 billion until now on this project buying books so as to enable each school to get books worthy one million Shilling", said Kavishe.
She further added that, by taking into consideration of the fact that each school has a need of different books based on curricular and subjects managed by each, each beneficiary school enjoyed an opportunity to propose ideal books require, for Airtel to buy and handover to them.
"We are highly committed towards supporting Tanzanian community by improving education level and this time through availability books to secondary schools students. Since we started our books support programme, approximately seven years ago, we have reached more than 800 secondary schools that are spread across the country", said Kavishe.
Akipokea vitabu hivyo Katibu Tawala wa Wilaya ya Morogoro, Alfred Shayo aliishukuru Airtel na kutoa wito kwa makampuni mengine kuiga mfano huo na kuhimiza wanafunzi kuvitumia kiuhakiki na kwa uangalifu ili vidumu zaidi "Airtel tunawashukuru sana! Lakini niombe waalimu na wanafunzi shule zote muwe makini na kutunza nyenzo hizi za elimu kwa kuwa zitasaidi sana kwanza kumuondo adui ujinga na baada ya hapo itasaidia kuinua maendeleo ya mkoa wetu kwa kuwa na wasomi bora" alisema Katibu Tawala wa Wilaya ya Morogoro, Alfred Shayo Nae Mkuu wa Sekondari ya SUA, Khalfan Millongo. akipoke msaada huo kwa niaba ya waalimu wakuu wa shule zilizofaidika na kampeni ya Airtel shule yetu alishukuru na kusema " tunawashukuru sana airtel kwa kuchangia elimu hii ni kuonyesha jinsi gani mnawajibika na jamii Thamani ya msaada huu huwezi kuipima kwa kuangalia gharama ya vitabu bali thamani halisi ipo katika maarifa yaliyomo ndani ya vitabu hivi. Hivyo ni msaada ambao hautaisha thamani. Tunasema asante san. Vitabu hivi vitahakisha kufikia lengo la Serikali kupitia mpango wake wa MMES II ambao umelenga kuwa na uwiano wa 1:3 kwa vitabu vya kiada yaani kitabu kimoja kwa wanafunzi watatu Mwisho naomba niwahakikishe vitabu hivi vitatumika kama ilivyokusudiwa! alimaliza kusema Mkuu wa Sekondari ya SUA, Khalfan Millongo.
0 comments:
Post a Comment