Social Icons

Sunday, May 1, 2011

WIKIENDI YA MUZIKI KUMBI ZA DAR, MSONGOLA

Mashabiki wa bendi ya Mapacha watatu wakicheza mduara katika onyesho lililofanyika ukumbi wa Equator uliopo Mtoni Kwa Azizi Ally jijini.
MTANDAO huu usiku wa kuamkia leo ulitembelea kumbi kadhaa za burudani na kujionea ‘Wabongo’ walivyojiachia.

Kiongozi wa bendi ya Mapacha wawatu, Khalid Chokoraa, akinengua na mashabiki akiwa amekaa kitini.

Kundi la muziki la Msongola likionyesha umahiri wake katika ukumbi wa Msongola, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.

0 comments: