Pichani juu Obama akiwa kwenye ' Chumba Cha Vita' akifuatilia kwa karibu operesheni 'SEAL Six Team' ya makomandoo wake waliokuwa Pakistan. Inasemwa, kuwa ulikuwa ni wakati wa mashaka makubwa . Obama alikuwa na matatu ya kuchagua; kuvamia jengo, kulipua jengo au kusubiri. Akaamrisha la kwanza, na hofu ilikuwa kwa baadhi ya makomandoo wake kupoteza maisha, maana, Osama Bin Laden naye alijiandaa kikamilifu kwa mpambano wa silaha.
Na kwenye mikutano ya siri ya kupanga mkakati huo mara kwa mara
0 comments:
Post a Comment