Social Icons

Thursday, April 14, 2011

WAFANYAKAZI WA KIWANDA EAST COAST OILS AND FATS LIMITED CHA MeTL WAITIKIA WITO WA KUCHANGIA DAMU…!!!

Wafanyakazi wa kiwanda hicho wakiendelea na zoezi la uchangiaji damu.


Uongozi pamoja na wa Wafanyakazi wa Kiwanda cha East Coast Oils and Fats Ltd. kinachotengeneza Mafuta na Sabuni ambacho ni moja ya makampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL) leo wamejitolea kuchangia damu ikiwa ni kutikia wito kutokana na kupungua kwa akiba ya damu katika benki ya damu nchini Tanzania.

Zoezi hilo limefanyika leo katika Kiwanda hicho kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam, huku wafanyakazi hao wakiongozwa na Meneja Mkuu Vekant Police.

0 comments: