Social Icons

Saturday, April 9, 2011

LULU WA C2C ANATISHIA AMANI!

MTANGAZAJI wa kituo cha Runinga cha C2C cha jijini Dar es Salaam, Lulu Mathias Semagongo, juzi kati kamera yetu ilimnasa pande za Club Bilicanas akiwa amejiachia na kivazi hiki bila hata wasi wasi wowote ule akidai yuko ki starehe zaidi.

0 comments: