skip to main |
skip to sidebar
EXTRA BONGO WANUSULIKA KUFA AJALINI
WANAMUZIKI wa bendi ya Extra Bongo iliyo chini ya uongozi wa Ally Choki, wamenusulika kufa ajalini, alfajiri ya leo maeneo ya Mangomeni jijini Dar es Salaam, wakati wakitoka katika onyesho lao lililofanyika kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza usiku wa kuamkia leo,
na kukimbbizwa katika Hospitali ya Muhimbili kwa ajili ya matibabu.
0 comments:
Post a Comment