Social Icons

Friday, March 25, 2011

WAZIRI MAGUFURI ATEMBELEA KWENYE UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli(wa tatu kushoto)akipata maelezo leo katika eneo la kurasini vijibweni Jijini Dar es Salaam kutoka kwa meneja wa Miradi ya NSSF Engineer Joh Msemo(kulia) jua ya eneo ambalo watajenga daraja la kigamboni.Shirika la jamiii linategemea kuanza ujenzi wa Draaja hilo Mapema Mwaka huu baada ya zabuni kutangazwa na kumpata mhandisi.Daraja la kigamboni litagharimu Shilingi Billioni 130 hadi litakapokamilika.
Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli(kushoto)akisistiza kuhusu umuhimu wa kuharakisha ujenzi wa daraja la kigamboni ili kurahisisha usafiri kwa wakazi wa kigamboni na Wakazi wa Mjini,Shirika la jamiii (NSSF) linategemea kuanza ujenzi wa Draaja hilo Mapema Mwaka huu baada ya zabuni kutangazwa na kumpata mhandisi.Daraja la kigamboni litagharimu Shilingi Billioni 130 hadi litakapokamilika.

0 comments: