
WADAU mbalimbali wa muziki injili waliofanya vizuri mwaka uliopita jana walipewa tuzo mbalimbali katika Tamasha la Muziki wa Injili Tanzania lililofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Martha Mwaipaja akitoa burudani baada ya kupewa tuzo.


Msanii wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ na Msanii wa kundi la THT Mwasiti Almas wakifutilia kinachoendelea.
0 comments:
Post a Comment