Social Icons

Wednesday, March 2, 2011

TIMU YA SAIDIA GONGO LA MBOTO UINGEREZA, YAANDAA MIZIGO KWA AJILI YA WAHANGA




Frank (kushoto) na Ben wakipakia mashati kwa ajili ya Wahanga wa Gongo la Mboto.




Mizigo imejaa tayari kupigwa Utepe.





Frank, Sheila, Tina na Ben wakifunga utepe kwenye mizigo tayari kusafirishwa kuelekea Tanzania.




Timu ya SAIDIA GONGO LA MBOTO UK inawashukuru wale wote ambao waliweza kujitolea kwa hali na mali kutoa misaada mbali mbali.
Mungu awabariki Watanzania,
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni,


TIMU YA SAIDIA GONGO LA MBOTO-UK

0 comments: