skip to main |
skip to sidebar
SHINOLE: AKIRI KUUZA GENGE,ARUKA KUOLEWA MARA MBILI
Shinole ni msanii anaejulikana sana katika tasnia ya filamu hapa Tanzania, amekana maneno yanayosemwa kwamba alishawahi kuolewa mara mbili, ila alichokubali ni kwamba ametengana na mume wake na sasa hana mpango wa kuolewa wala kurudiana na mzazi mwenzie alietengana nae.
1 comments:
Dawa za kichina si mchezo!Duuh!
Post a Comment