Tozi wa Kikulya, Yohana akionyesha msuli wake.
Kanji a.k.a Mzee wa kujitoa mhanga kwa Viburudisho waliyoshindikana akiwa kwenye pozi la kuvizia ...
Mrembo nae aliomba apigwe picha aonyeshe urembo wake.
kama hivi...
Kimwana Manywele (kulia), Sajenti akiwa kwenye pozi la rafiki yake.
Jamaa akionyesha uwezo wake katika Sarakasi.
........ Iilikuwa hivi.
Hapa vipi?
Kanji (katikati), akiwa bize na simu yake, wengine ni Masanja na Abilah Zungu.
Mateja (kushoto), akiwa na Mrisho Ngasa(katikati), na Masanja.
Ngasa & Masanja.
Mateja & Ngasa
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha IFM wakiwa kwenye maombi ndani ya ukumbi wa Kaninsa la Azania Front Posta jijini Dar es Salaam.
Masanja akinena kiroho katika maombi hayo.

0 comments:
Post a Comment