Social Icons

Monday, March 28, 2011

MATEJA20 NA BURUDANI ZA WIKI NZIMA

Wasanii kutoka lebo ya Zizzou Entertiments, Baby Boy (kushoto), na Steve R&B wakikamua katika tamasha la Uzalendo.
Steve & Baby Boy walionyesha uwezo wao namna hii.
Muimbaji wa nyimbo za injili Flora Mbasha (wa pili kulia), na mmewe Mbasha (kushoto), wakifanya makamuzi yao.
Flora Mbasha (kushoto), akicheza staili ya Kiduku na kijana wake.
Mbasha nae hakuwa nyuma kuonyesha uwezo wake.
H. Mbizo, akitumbuiza mahali hapo.
Mambo ya Mbasha hayo...
Raia walivyoitikia tamasha hilo.
AY akionyesha uwezo wake
H Baba akikonga nyoyo za mashabiki waliotia timu pande hizo.
H Baba akimchezesha mmoja wa mashabiki zake.
Mambo yalikuwa hivyo kwa H Baba.
... H Baba...
Ma' lady Aisha, katika pozi .

Waiya akiwa katika pozi.Mariam akionyesha Swagger zake.

Swagger ziliendelea namna hii.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Eric James Shigongo, akihutubia umati uliofurika katika viwanja vya Biafra Kinondoni jijini Da es Salaam, kwenye tamasha la Uzalendo.
Mtangazaji wa ITV, Godwin Gondwe akiongea jambo katika tamasha hilo.
Mwanamuziki Mkongwe,wa Ragger Inocent Galinoma, akitumbuiza kwenye tamasha hilo huku akipewa shavu na wanamuziki wa bendi ya African Stars International 'Twanga Pepeta Sugu Kisima cha Burudani, Luiza Mbutu, Khadija Mnoga na Venance.
Shigongo (katikati), akifuatilia mchakato huo kwamakini na rafiki zake.
Godwin Gondwe akiteta jambo na Profesa Jay muda mfupi kabla ya kupanda jukwaani kukonga nyoyo za mashabiki wake.

0 comments: