Social Icons

Monday, March 21, 2011

MASANJA MKANDAMINZAJI: KWA MUNGU HAKUNA KOMEDI!

Baadhi ya waumini wakifuatilia kongamano hilo kwa makini.
Masanja akisikiliza mahubiri kwa makini .
Masanja akifunua maandika flani katika Biblia yake.

Askofu Mkuu wa Kanisa la( EAGT ),Moses Kulola
akitoa neno kenye kongamano la injili lililokuwa likifanyika j2, hii ndani ya viwanja vya Biafla Kinondoni jijini Dar es Salaam.

0 comments: