Social Icons

Tuesday, February 15, 2011

JK AFUNGUA JENGO LA MAMA NA MTOTO KIBAHA

Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Bi. Habiba Rajabu mkazi wa Chalinze aliyejifungua watoto mapacha katika hospitali ya Shirika la Elimu Kibaha muda mfupi baada ya rais kufungua jengo jipya la Mama na Mtoto katika hospitali hiyo leo asubuhi. Jengo hili limejengwa kwa msaada wa Taasisi ya Korea Rotary International ambapo rais wa Taasisi hiyo Dong Kum Lee alikabidhi vifaa mbalimbali vya kitabibu wakati wa hafla hiyo.

Picha na Freddy Maro

0 comments: