WAKATI baadhi ya wananchi wanapofika katika vituo vya polisi hapa nchini hulazimishwa (na polisi) kutafuta usafiri wa kwenda kuwakamata washitakiwa wao,lakini leo mchana "Difenda" la kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) limenaswa na kamera yetu Barabara kuu ya Nkono, mjini Morogoro, likiwa na lundo la makreti ya bia. Haikufahamika mara moja bia hizo zilikuwa zinapelekwa wapi na zilikuwa za nani.
Wednesday, January 19, 2011
GARI LA POLISI LABAMBWA NA MAKRETI YA BIA MORO
WAKATI baadhi ya wananchi wanapofika katika vituo vya polisi hapa nchini hulazimishwa (na polisi) kutafuta usafiri wa kwenda kuwakamata washitakiwa wao,lakini leo mchana "Difenda" la kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) limenaswa na kamera yetu Barabara kuu ya Nkono, mjini Morogoro, likiwa na lundo la makreti ya bia. Haikufahamika mara moja bia hizo zilikuwa zinapelekwa wapi na zilikuwa za nani.
Labels:
www.mateja20.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment