Aliyekuwa Mratibu Msaidizi wa Tamasha la Sauti za Busara linalofanyika kila mwaka visiwani Zanzibar,Kwame Mchauru (Katikati) akiwaeleza wadau wa Jukwaa la Sanaa juu ya mchango wa matamasha katika kutao ajita nchini Tanzania.Msanii wa kizazi kipya,Symon John aka Gheto King akimuuliza Mratibu wa Tamasha la Sauti za Busara jinsi ya kuwawezesha wasanii kushiriki kwenye tamasha hilo.
Tuesday, January 4, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment