skip to main |
skip to sidebar
ARSENAL YAICHAKACHUA 3-1 CHELSEA!
MSHAMBULIAJI wa Arsenal Theo Walcott (katikati), akishangilia pamoja na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake bao la tatu katika mechi ya ligi kuu ya England dhidi ya Chelsea iliyafanyika katika uwanja wa Emirates, London hapo jana. Arsenal walishinda kwa 3-1
0 comments:
Post a Comment