Social Icons

Thursday, December 16, 2010

AIRTEL KUTOWA MILIONI 1O KWA MSHINDI WA PILI WA BSS!

Bella Kombo (kushoto), akisikiliza kwa makini moja ya mambo yaliyokuwa yakiongelewa katika mkutano huo, anayemfuata ni James Martin na Waziri Salum.
Kutoka (Kushoto) ni Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania, Mutta Muganyizi, akiwa na mkurugenzi wa Shindano la Bongo Star Search Rita Paulsen, katika mkutano na Waandishi wa Habari uliyofanyika makao makuu ya ofisi za Airtel Morocco jijini Dar, ambapo kampuni hiyo itatoa kitita cha shilingi milioni kumi (10) kwa mshindi wa pili huku mshindi wa tatu akiondoka na shilingi milioni tano (5). Pesa zote hizo ni nje ya udhamini wao wa mika mitano, ambapo mwaka huu wamedhamini kiasi cha shilingi ml. 100 kwaajili ya kusapoti mchakato huo.
Mshiriki wa kinyang'anyiro hicho Mariam Mohamed 'mama wa kujishebedua,' akifuatilia mchakato huo na Joseph Pain.

0 comments: