Afisa wa Ufadhili wa kampuni ya simu za mkononiya Vodacom Ibrahimu Kaude akimkabizi simu mshindi wa Vodacom MissXXL After scholl Bash,Amisa Hussein wa Sekondari ya Tandika ya jijini Dar lililowashilikisha wanafunzi wa pamoja wa shule za sekondari,kipindi hiki cha likizo katika Hoteli ya Kunduch Beach.katikatini mtangazaji waClouds Tv Zamaradi Mketema.
Afisa wa Ufadhili wa kampuni ya simu za mkononiya Vodacom Ibrahimu Kaude akimkabizi simu mshindi wa Vodacom MrXXL After school Bash,Karama Haji wa sekondari ya Tusiimekatika shindanolililowashilikisha wanafunziwa pamoja wa shule za sekondari,kipindi hiki cha likizo katika Hoteli ya Kunduch Beach.kuliani mtangazaji wa Clouds TV .Zamaladi Mketema.
Mwanamuziki mahiri Joe Makiniakiwapagawisha wanafunzi waliofika katika Tamasha la Vodacom XXL After School Bash lililofanyika katika Hoteli ya Kunduchi Beach lililokuwa na lengo lakuwakutanisha wanafunzi wote katika kipindi hiki cha Likizo.
Msanii chipukizi kutoka kundi la Tip Top Connections Dogo Janja akiwarusha wanafunzi wa shule mbalimbali katika tamasha la Vodacom XXL After school Bash lililofanyika katika Hoteli ya Kunduchi Beach.likiwa limeandaliwa na Vodacom kwa kushirikiana na CLOUDS.
Mwanamuziki wa kizazi kipya Mwasiti akikonga nyoyo wanafunzi wa shulembalimbaliwaliohudhulia katika Tamasha la Vodacom XXL After School Bash lililofanyika katika hotel ya Kunduch Beach
0 comments:
Post a Comment