Social Icons

Saturday, November 20, 2010

MAKONGORO MAHANGA APOKELEWA KISHUJAA SEGEREA!

Mbunge wa Segerea, Makongoro Mahanga (pichani) mapema leo amepokewa kishujaa na wapiga kura wake waliompokea na kumkaribisha katika jimbo lake la Segerea, ikiwa ni mara ya kwanza tangu aapishwe mjini Dodoma wiki iliyopita. Makongoro alipita mitaa ya Segera akiwa kwenye gari la wazi huku akiwapungia usinga mweusi wakazi wa eneo hilo. Mbunge huyo anaingia jimboni kwake awamu ya pili baada ya kumshinda kwa mbinde mpinzani wake, Mpendazoe wa Chadema.

...msafara wa vijana ukiandamana

msafara wa magari ukiwa nyuma ya gari la mheshimiwa.

0 comments: