Waigizaji wa filam Bongo wakiwa kwenye piozi la pamoja ndani ya Ukumbi wa Florida Masaki jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Chuchu Hansi (kulia) akiwa kwenye pozi na muigizaji wa kundi la Bongo Dar es Salaam. .
The Great Kanumba akiwa na Thea ndani ya Ukumbi wa Florida juzikati.
Mike na Thea wakiwa kanisani hivi karibuni baada ya kufunga pingu za maisha.
Dinno akimvarisha suti Mike siku ya Ndoa yake.
Mike akilipa bili baada ya kunyolewa.
Abiyola akijaribu kumweka sawa Mike.
Mike akinyolewa.
Akioshwa Nywele.
Baada ya kumaliza kufanyiwa Scrub.

0 comments:
Post a Comment