CRISS WAMARYA sasa aapa kuja kivingine, katika game ya bongo fleva na kuwapa raha zaidi mashabiki wake. Kwani anasema ladha ya sasa ni kama vanila fleva,Ila kwa sasa kasema tayari kashamaliza kurekodi Audio na Video kwa pamoja na kuwapa raha mashabiki wake.kwa maelezo yake zaidi Criss kasema nyimbo yake inayo kuja kwa jina la kilomita sita, imefanywa katika studio ya ONE MUSIC na video ikifanywa na E MEDIA. Ambayo anatarajia kuitoa video na audio mwezi wa kumi,kwa habari toka kwa criss zinazidi kusema kuwa kazi hiyo itakuwa nzuri zaidi ya nyimbo yake SINYORITA.
Pamoja na hayo yote kamalizia kwakusema anaomba sapoti toka kwa mashabiki wake na wadau wa muziki kwa mawasiliano: +225718777667 or +2257122222 e mail: crisswamarya11@yahoo.com
Pamoja na hayo yote kamalizia kwakusema anaomba sapoti toka kwa mashabiki wake na wadau wa muziki kwa mawasiliano: +225718777667 or +2257122222 e mail: crisswamarya11@yahoo.com
0 comments:
Post a Comment