WAREMBO wanaoshiriki kinyang’anyiro cha kumsaka mrithi wa taji la Miss Tanzania mwaka huu leo walikuwa katika hafla ya pamoja na vyombo vya habari iliyofanyika katika Hoteli ya Girrafe jijini Dar es Salaam ambapo mratibu wa mashindano hayo ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Rhino Agency, Hashim Lundenga, alisema kwamba wanyange hao kesho asubuhi wataanza ziara katika vivutio mbalimbali vya utalii nchini wakianzia mikoa ya Kilimanjaro naArusha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment